Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Kiroho |
Mmiliki wa Rasilimali | max7.org |
Video hii hai inasimulia fumbo la Yesu la Mpandaji, kama linavyoelezwa katika Matayo 13:1-23, Marko 4:1-20 na Luka 8:1-15. Video inaonyesha dhahiri mara nne za mbegu kusambazwa kwenye sehemu tofauti. Soma mbegu zikikua na changamoto zinazopita. Utajibu aje ujumbe wa Yesu? Rasilimali hii ya video hai ina urefu wa dakika 2 na sekunde 56, na inafaa kwa watoto wanaoenda shule na vijana, familia na mkusanyiko wa watu wa umri wote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio hatarini. Sisi ni jamii ya duniani kwote ya wafuasi wa Yesu iliyojitolea kwa ukuaji wa watoto wa jumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii yenye ushirikiano kushiriki mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika shida.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.