Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Kiroho |
Mmiliki wa Rasilimali | max7.org |
Video hii hai inasimulia hadithi ya fumbo la tajiri mjinga, iliyo katika Luka 12. Mack, mkulima aliyegeuka na kuwa mchunga ng'ombe huko Porini Magharibi, anashangzwa na mimea mingi porini na mipaka yenye vumbi. Licha ya mipango mikubwa, utatuzi wa matatizo wa Mack; mara kwa mara nia nzuri hubadilika na kuwa za uchoyo. Rasilimali hii ya video haina vipengele vya lugha, kuifanya iwe ya kufaa kwa watu wa lugha zote, na ina urefu wa dakika 3 na sekunde 7. Inafaa kwa watoto wenye umri wa miaka 5 na kuendelea.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio hatarini. Sisi ni jamii ya duniani kwote ya wafuasi wa Yesu iliyojitolea kwa ukuaji wa watoto wa jumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii yenye ushirikiano kushiriki mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika shida.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.