Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
Mmiliki wa Rasilimali | Therapist Aid LLC |
Also Available in | Kiingereza |
Chati hii inatoa kielelezo cha picha ya hisia na mihemuko tofauti. Msaada wa kuona unaweza kuwa na manufaa kutumiwa na watu ambao wana shida ya kutaja mihemuko ambayo wanahisi.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio hatarini. Sisi ni jamii ya duniani kwote ya wafuasi wa Yesu iliyojitolea kwa ukuaji wa watoto wa jumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii yenye ushirikiano kushiriki mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika shida.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.