Lengo la mafunzo haya ni kumwezesha anayejifunza kuboresha mchakato wa kutathmini wasailiwa wenye uwezo na wanaofaa kufanyakazi na watoto. Itaelezea umuhimu wa taratibu salama za namna ya kuajiri na kusaidia wanaojifunza kutathmini ustahiki wa wasailiwa wote kufanyakazi na walengwa.
Self enrolment (Student)