children laughingKama mwanafamilia katika familia ya Kimataifa ya Compassion,wewe ni mtetezi wa watoto,hata kama hauchangamani nao moja kwa moja. Katika kozi hii ambayo unatakiwa kufanya, utajifunza namna ya kuzuia na kuwa na mwitikio kwa unyanyasaji wa mtoto, utelekezaji, au unyonyaji. Hii inajumuisha kukubaliana na Kanuni za Maadili za Compassion.

Tafadhali kumbuka, kozi hii imeboreshwa kwa jukumu lako na eneo lako ili wakati wako katika kozi hiyo utofautiane.

Self enrolment (Student)