Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Kutuhusu
  • Unganisha
  • Kujifunza
  • Gundua

Teua Lugha Unayopenda

  • Kiingereza
  • Kihispania
  • Kiswahili
  • Kifaransa
  • Kireno
  • Kithai
  • Mwanzo
  • Gundua
  • Kujifunza
  • Unganisha
  • Kutuhusu
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Ulinzi wa Mtoto  >  Mwili Wangu ni Mwili Wangu Mifuatano
Zote▾
  • Zote
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Tambulizi
    • Zote
  • Kimwili
    • Zote
  • Mihemko ya Kijamii
    • Zote
  • Kiroho
    • Zote
    • Hadithi za Biblia
  • Mtoto Filosofia
  • Kanisa Filosofia
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

2019
Onesha upya

Onesha upya

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Kiswahili • MB 1.4
Lebo: Afya/Usalama, Mpango wa Usalama, Vitu Visivyo na Afya, Thamani ya Mtoto, Haki za Mtu Binafsi, Kujiamini, Kuhisi Salama, Kuweka Mipaka, Sehemu Salama, Unyanyasaji wa Watoto, Utetezi wa Watoto, Watoto wa miaka 3-5, Watoto wa miaka 6-8
Kategoria Ulinzi wa Mtoto
Mmiliki wa Rasilimali Chrissy Sykes
Also Available in English, Spanish, French
Mwandishi Chrissy Sykes

Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu inatoa njia rahisi, ya hatua kwa hatua ya kujadili na watoto mada nyeti au ambayo huenda hutaki kujadali ya kuzuia unyanyasaji wa watoto. Kuna mashauri ya kuwajulisha watoto wadogo kuhusu mada hizi kwa kuzingatia umri wao ama kwa njia inayofaa kwa umri wao, pamoja na mambo ya kujadili na vifaa vya ziada vya kukusaidia kuwaongoza watoto kupitia video za muziki za Mwili Wangu ni Mwili Wangu. Kuna orodha ya “Maswali Yananayoulizwa Mara Nyingi” ya kukusaidia ujiandae kwa mambo ambayo huenda watoto wakuulize unapowasilisha mada hii na mawazo ya jinsi unavyoweza kujibu maswali hayo.  Katika Hati ya kufundisha ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu, utapata pia maelezo ya na viashirio vya aina tofauti za unyanyasaji, pamoja na mashauri ya unachoweza kufanya ukishuku kwamba mtoto ananyanyaswa.

Hati hii ni sehemu ya: Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • Wimbo wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Wimbo wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto kwamba mwili wao ni wao wenyewe na hakuna aliye na haki ya kuwaumiza au kugusa sehemu zao za sir...
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu

    Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa pili kw...
  • Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Mifuatano - 13 Rasilimali
    Mwili Wangu ni Mwili Wangu ni mpango wa bure wa kuzuia unyanyasaji wa watoto unaowawezesha ama kuwaelimisha watoto kupitia burudani, video za muzik...
  • Wimbo wa Iwapo una Shida – Muambie Mtu

    Wimbo wa Iwapo una Shida – Muambie Mtu

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto umuhimu wa kumueleza mtu mzima anayeaminika ikiwa mtu anawaumiza. Kwa mashauri ya kuwasaidia wat...
  • Wimbo wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu – Usilifanye

    Wimbo wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu – Usilifanye

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto wasikilize hisia zao. Watoto wanahimizwa wasifanye mambo yanayowapa wasiwasi.  Kwa mashauri...
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida

      Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa nne kwenye toleo ...
  • Wimbo wa Mchezo wa Je, Ingekuwaje?

    Wimbo wa Mchezo wa Je, Ingekuwaje?

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto “Wakatae!” katakata. Video hii inajumuisha mifano mitatu ya hali ambapo watoto wanah...
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”

    Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje” yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa tatu kwenye...
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu

    Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu yanatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa kwanza kwenye ...
  • Ishara za Unyanyasaji wa Watoto

    Ishara za Unyanyasaji wa Watoto

    Hati ya Ishara za Unyanyasaji wa Watoto ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu inatoa mashauri muhimu ya kumjibu mtoto anayefichua taarifa inayoonyesha kwam...
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole

    Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole yanaelezea malengo ya wimbo wa mwisho kwenye toleo la video ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu, yanayowasaidia ...
  • Wimbo wa Upendo ni Mpole

    Wimbo wa Upendo ni Mpole

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto upendo unavyofanana, ili waweze kutambua wakati ambapo jambo fulani si lenye upendo.  Kwa v...

Sisi ni kwa ajili ya watoto.

ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio hatarini. Sisi ni jamii ya duniani kwote ya wafuasi wa Yesu iliyojitolea kwa ukuaji wa watoto wa jumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii yenye ushirikiano kushiriki mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika shida.

ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi